Jeremiah 22:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, huyu mtu Konia, amekuwa kama chungu kilichovunjika, ambacho hudharauliwa na kutupwa nje? Kwa nini yeye na watoto wake wametupwa mbali wakatupwa katika nchi wasiyoijua?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, huyu mtu Yekonia ni chungu kilichodharauliwa, chungu kilichovunjika, chombo kisichotakiwa na mtu yeyote? Kwa nini yeye na watoto wake watupwe nje kwa nguvu, na kutupwa kwenye nchi wasioijua?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mtu huyu, Konia, ni chombo kilichodharauliwa, na kuvunjika? Ni chombo kisichopendeza? Mbona wametupwa, yeye na wazao wake, na kutupwa katika nchi wasiyoijua?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, huyu mtu Konia, amekuwa kama chungu kilichovunjika, ambacho hudharauliwa na kutupwa nje? Kwa nini yeye na watoto wake wametupwa mbali wakatupwa katika nchi wasiyoijua?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, huyu Yekonia ni mtu aliyedharauliwa, chungu kilichovunjika, tena chombo kisichotakiwa na mtu ye yote? Kwa nini yeye na watoto wake watupwe nje kwa nguvu, na kutupwa kwenye nchi wasioijua?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, huyu mtu Yekonia ni chungu kilichodharauliwa, chungu kilichovunjika, chombo kisichotakiwa na mtu yeyote? Kwa nini yeye na watoto wake watupwe nje kwa nguvu, na kutupwa kwenye nchi wasioijua?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mtu huyu, Konia, ni chombo kilichodharauliwa, na kuvunjika? Ni chombo kisichopendeza? Mbona wametupwa, yeye na wazao wake, na kutupwa katika nchi wasiyoijua?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, huyu mtu Konia, amekuwa kama chungu kilichovunjika, ambacho hudharauliwa na kutupwa nje? Kwa nini yeye na watoto wake wametupwa mbali wakatupwa katika nchi wasiyoijua?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Huyu mtu Konia siye chungu kinachowaziwa si kitu, kinachovunjwa tu? Siye chombo kisichopendwa? Mbona yeye nao walio kizazi chake wamebwagwa na kutupwa katika nchi, wasiyoijua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mtu huyu, Konia, ni chombo kilichodharauliwa, na kuvunjika? Ni chombo kisichopendeza? Mbona wametupwa, yeye na wazao wake, na kutupwa katika nchi wasiyoijua?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona huyu mutu Konia, amekuwa kama chungu kilichovunjika, ambacho kinazarauliwa na kutupwa inje? Kwa nini yeye na watoto wake wamefukuzwa, wametupwa katika inchi wasiyoijua?