Jeremiah 22:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawatayarisha waangamizi dhidi yako, kila mmoja na silaha yake mkononi. Wataikata mierezi yako mizuri, na kuitumbukiza motoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawatuma waharibifu dhidi yako, kila mtu akiwa na silaha zake, nao watazikata boriti zako bora za mwerezi na kuzitupa motoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakufanyia tayari watu wenye kuharibu, kila mtu na silaha zake; Nao watakata mierezi miteule yako, na kuitupa motoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawatayarisha waangamizi dhidi yako, kila mmoja na silaha yake mkononi. Wataikata mierezi yako mizuri, na kuitumbukiza motoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawatuma waharabu dhidi yako, kila mtu akiwa na silaha zake, nao watazikata boriti zako nzuri za mierezi na kuzitupa motoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawatuma waharabu dhidi yako, kila mtu akiwa na silaha zake, nao watazikata boriti zako nzuri za mierezi na kuzitupa motoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakufanyia tayari watu wenye kuharibu, kila mtu na silaha zake; Nao watakata mierezi yako miteule, na kuitupa motoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawatayarisha waangamizi dhidi yako, kila mmoja na silaha yake mkononi. Wataikata mierezi yako mizuri, na kuitumbukiza motoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitajichagulia waangamizaji wako, kila mtu na mata yake, waikate miangati yako iliyochaguliwa, waitupe motoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakufanyia tayari watu wenye kuharibu, kila mtu na silaha zake; Nao watakata mierezi miteule yako, na kuitupa motoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawatayarisha waangamizaji wakufikie, kila mumoja akishika silaha yake. Watazikata nguzo zako nzuri za mierezi, na kuzitumbukiza katika moto.