Jeremiah 22:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha watu wengi wa mataifa watapita karibu na mji huu, na kila mmoja atamwuliza mwenzake: ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ameutenda hivi mji huu mkubwa?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watu kutoka mataifa mengi watapita karibu na mji huu na kuulizana, ‘Kwa nini Mwenyezi Mungu amefanya jambo la namna hii kwa mji huu mkubwa?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mataifa mengi watapita karibu na mji huu, nao watasema kila mtu na jirani yake, Nini maana yake Bwana kuutenda hivi mji huu mkubwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha watu wengi wa mataifa watapita karibu na mji huu, na kila mmoja atamwuliza mwenzake: ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ameutenda hivi mji huu mkubwa?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watu kutoka mataifa mengi watapitia karibu na mji huu na kuulizana, ‘Kwa nini BWANA amefanya jambo la namna hii juu ya mji huu mkubwa?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watu kutoka mataifa mengi watapitia karibu na mji huu na kuulizana, ‘Kwa nini bwana amefanya jambo la namna hii juu ya mji huu mkubwa?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mataifa mengi watapita karibu na mji huu, nao watasema kila mtu na jirani yake, Nini maana yake BWANA kuutenda hivi mji huu mkubwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha watu wengi wa mataifa watapita karibu na mji huu, na kila mmoja atamwuliza mwenzake: ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ameutenda hivi mji huu mkubwa?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamizimu wengi watakapopapitia penye mji huu wataulizana mtu na mwenziwe: Kwa sababu gani Bwana ameufanyizia mji huu mkubwa mambo kama hayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mataifa mengi watapita karibu na mji huu, nao watasema kila mtu na jirani yake, Nini maana yake BWANA kuutenda hivi mji huu mkubwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na watu wengi wa mataifa watapita karibu na muji huu, kila mumoja atamwuliza mwenzake: Kwa nini Yawe ameutendea muji huu mukubwa hivi?