Jeremiah 22:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenzao watawajibu, ‘Ni kwa sababu waliliacha agano la Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, wakaiabudu miungu mingine na kuitumikia.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nalo jibu litakuwa: ‘Kwa sababu wameliacha agano la Mwenyezi Mungu, Mungu wao, na wameabudu na kuitumikia miungu mingine.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo watakapojibu, Ni kwa sababu waliliacha agano la Bwana, Mungu wao, wakaabudu miungu mingine, na kuitumikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenzao watawajibu, ‘Ni kwa sababu waliliacha agano la Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, wakaiabudu miungu mingine na kuitumikia.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nalo jibu litakuwa: ‘Kwa sababu wameliacha Agano la BWANA, Mungu wao na wameabudu na kuitumikia miungu mingine.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nalo jibu litakuwa: ‘Kwa sababu wameliacha agano la bwana, Mungu wao, na wameabudu na kuitumikia miungu mingine.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo watakapojibu, Ni kwa sababu waliliacha agano la BWANA, Mungu wao, wakaabudu miungu mingine, na kuitumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenzao watawajibu, ‘Ni kwa sababu waliliacha agano la Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, wakaiabudu miungu mingine na kuitumikia.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu watawajibu: Ni kwa sababu wameliacha Agano la Bwana Mungu wao, wakaangukia miungu mingine na kuitumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo watakapojibu, Ni kwa sababu waliliacha agano la BWANA, Mungu wao, wakaabudu miungu mingine, na kuitumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watajibiana hivi: Ni kwa sababu wakaaji wake walivunja agano la Yawe, Mungu wao, wakaabudu miungu mingine na kuitumikia.