Jeremiah 23:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ole wao wachungaji wanaowaangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ole wao wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wao wachungaji, wanaoharibu kondoo za malisho yangu na kuwatawanya! Asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ole wao wachungaji wanaowaangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ole wa wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” Asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ole wao wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wao wachungaji, wanaoharibu kondoo za malisho yangu na kuwatawanya! Asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ole wao wachungaji wanaowaangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatawapata wachungaji wanaowaangamiza na kuwatawanya kondoo, niliowapa kuwachunga! ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wao wachungaji, wanaoharibu kondoo za malisho yangu na kuwatawanya! Asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwa wachungaji wanaowaangamiza na kusambaza kundi langu la kondoo! –Ni ujumbe wa Yawe.