Jeremiah 23:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Miongoni mwa manabii wa Samaria, nimeona jambo la kuchukiza sana: Walitabiri kwa jina la Baali wakawapotosha watu wangu Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Miongoni mwa manabii wa Samaria nililiona jambo la kuchukiza: Walitabiri kwa Baali na kuwapotosha Israeli watu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nimeona upumbavu katika manabii wa Samaria; walitabiri kwa Baali, wakawakosesha watu wangu Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Miongoni mwa manabii wa Samaria, nimeona jambo la kuchukiza sana: walitabiri kwa jina la Baali wakawapotosha watu wangu Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Miongoni mwa manabii wa Samaria nililiona jambo la kuchukiza: Walitabiri kwa Baali na kuwapotosha Israeli watu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Miongoni mwa manabii wa Samaria nililiona jambo la kuchukiza: Walitabiri kwa Baali na kuwapotosha Israeli watu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nimeona upumbavu katika manabii wa Samaria; walitabiri kwa Baali, wakawakosesha watu wangu Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Miongoni mwa manabii wa Samaria, nimeona jambo la kuchukiza sana: Walitabiri kwa jina la Baali wakawapotosha watu wangu Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata kwa wafumbuaji wa Samaria nimeona upumbavu, wakifumbua kwa nguvu ya Baali, wakawapoteza nao walio ukoo wangu wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nimeona upumbavu katika manabii wa Samaria; walitabiri kwa Baali, wakawakosesha watu wangu Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya manabii wa Samaria, nimeona jambo la kuchukiza sana: nao walitabiri kwa jina la mungu Bali na kupotosha watu wangu Waisraeli.