Jeremiah 23:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema hivi juu ya manabii wa Yerusalemu: Nitawalisha uchungu, na kuwapa maji yenye sumu wanywe. Maana, kutoka kwa manabii wa Yerusalemu kutomcha Mungu kumeenea kila mahali nchini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni kuhusu manabii: “Nitawafanya wale chakula kichungu na kunywa maji yaliyotiwa sumu, kwa sababu kutokana na manabii wa Yerusalemu kutokumcha Mungu kumeenea katika nchi yote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana wa majeshi asema hivi, katika habari ya manabii, Tazama, nitawalisha pakanga, nitawanywesha maji ya uchungu; kwa kuwa kutoka kwa manabii hao wa Yerusalemu kukufuru kumeingia katika nchi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema hivi juu ya manabii wa Yerusalemu: Nitawalisha uchungu, na kuwapa maji yenye sumu wanywe. Maana, kutoka kwa manabii wa Yerusalemu kutomcha Mungu kumeenea kila mahali nchini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, hili ndilo BWANA Mwenye Nguvu Zote asemalo kuhusu manabii: “Nitawafanya wale chakula kichungu na kunywa maji yaliyotiwa sumu, kwa sababu kutokana na manabii wa Yerusalemu kutokumcha Mungu kumeenea katika nchi yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, hili ndilo bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo kuhusu manabii: “Nitawafanya wale chakula kichungu na kunywa maji yaliyotiwa sumu, kwa sababu kutokana na manabii wa Yerusalemu kutokumcha Mungu kumeenea katika nchi yote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi BWANA wa majeshi asema hivi, kuhusu habari ya manabii, Tazama, nitawalisha pakanga, nitawanywesha maji ya uchungu; kwa kuwa kutoka kwa manabii hao wa Yerusalemu kukufuru kumeingia katika nchi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema hivi juu ya manabii wa Yerusalemu: Nitawalisha uchungu, na kuwapa maji yenye sumu wanywe. Maana, kutoka kwa manabii wa Yerusalemu kutomcha Mungu kumeenea kila mahali nchini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana Mwenye vikosi anasema hivyo kwa ajili ya wafumbuaji: Mtaniona, nikiwalisha majani machungu na kuwanywesha maji yenye sumu! Kwani kwa wafumbuaji wa Yerusalemu kumetoka upotovu, ukaziingia nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi BWANA wa majeshi asema hivi, katika habari ya manabii, Tazama, nitawalisha pakanga, nitawanywesha maji ya uchungu; kwa kuwa kutoka kwa manabii hao wa Yerusalemu kukufuru kumeingia katika nchi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Yawe wa majeshi anasema hivi juu ya manabii wa Yerusalema: Nitawakulisha uchungu, na kuwapa maji yenye sumu wakunywe. Maana kutoka kwa manabii wa Yerusalema kutomwogopa Mungu kumeenea kila pahali katika inchi.