Jeremiah 23:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hasira ya Mwenyezi Mungu haitageuka hadi amelitimiza kusudi la moyo wake. Siku zijazo mtalifahamu kwa wazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasira ya Bwana haitarudi, hata atakapokwisha kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtalifahamu neno hili kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hasira ya BWANA haitageuka mpaka amelitimiza kusudi la moyo wake. Siku zijazo mtalifahamu kwa wazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hasira ya bwana haitageuka mpaka amelitimiza kusudi la moyo wake. Siku zijazo mtalifahamu kwa wazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasira ya BWANA haitarudi, hata atakapokwisha kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtalifahamu neno hili kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukali wake Bwana hautatulia, mpaka ukiyafanya na kuyatimiza mawazo ya moyo wake; siku za mwisho mtayatambua haya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasira ya BWANA haitarudi, hata atakapokwisha kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtalifahamu neno hili kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasira ya Yawe haitatulia, mpaka atakapotimiza na kukamilisha mapenzi ya moyo wake. Kutakuja siku ambapo mutaelewa vema mambo hayo.