Jeremiah 23:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama wangalihudhuria baraza langu, wangaliwatangazia watu wangu maneno yangu, wakawageuza kutoka katika njia zao mbovu, na kutoka katika matendo yao maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama wangesimama barazani pangu, wangetangaza maneno yangu kwa watu wangu, nao wangewageuza kutoka njia zao mbaya na kutoka matendo yao maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama wangalisimama katika baraza yangu, ndipo wangaliwasikizisha watu wangu maneno yangu, na kuwageuza waziache njia zao mbaya, na uovu wa matendo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama wangalihudhuria baraza langu, wangaliwatangazia watu wangu maneno yangu, wakawageuza kutoka katika njia zao mbovu, na kutoka katika matendo yao maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama wangesimama barazani mwangu, wangetangaza maneno yangu kwa watu wangu, nao wangewageuza kutoka katika njia zao mbaya na kutoka katika matendo yao maovu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama wangesimama barazani mwangu, wangetangaza maneno yangu kwa watu wangu, nao wangewageuza kutoka njia zao mbaya na kutoka matendo yao maovu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama wangalisimama katika baraza yangu, ndipo wangaliwasikizisha watu wangu maneno yangu, na kuwageuza waziache njia zao mbaya, na uovu wa matendo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama wangalihudhuria baraza langu, wangaliwatangazia watu wangu maneno yangu, wakawageuza kutoka katika njia zao mbovu, na kutoka katika matendo yao maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wangalikuwa wamesimama penye njama yangu, wangeyasema maneno yangu masikioni pao walio ukoo wangu, wangewarudisha wabaya katika njia zao, wauache ubaya wa matendo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama wangalisimama katika baraza yangu, ndipo wangaliwasikizisha watu wangu maneno yangu, na kuwageuza waziache njia zao mbaya, na uovu wa matendo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wangalihuzuria katika baraza langu, wangalitangazia watu wangu maneno yangu, wangaliwageuza kutoka katika njia zao mbaya, na kutoka katika matendo yao maovu.