Jeremiah 23:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mtu aweza kujificha mahali pa siri hata nisiweze kumwona? Hamjui kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo kila mahali, mbinguni na duniani? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri nisiweze kumwona?” Mwenyezi Mungu asema. “Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?” Mwenyezi Mungu asema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema Bwana. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mtu aweza kujificha mahali pa siri hata nisiweze kumwona? Hamjui kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo kila mahali, mbinguni na duniani? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri ili nisiweze kumwona?” BWANA asema. “Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?” BWANA asema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri ili nisiweze kumwona?” bwana asema. “Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?” bwana asema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mtu aweza kujificha mahali pa siri hata nisiweze kumwona? Hamjui kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo kila mahali, mbinguni na duniani? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Kama mtu anajificha mafichoni, mimi sitamwona? Si mimi azijazaye mbingu na nchi? ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anaweza kujificha pahali pa siri hata nisiweze kumwona? –Ni ujumbe wa Yawe!– Hamujui kwamba niko kila pahali, katika mbingu na katika dunia? –Ni ujumbe wa Yawe!–