Jeremiah 23:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nimeyasikia maneno waliyosema hao manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, ‘Nimeota ndoto, nimeota ndoto!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nimesikia wanayoyasema manabii, hao wanaotabiri uongo kwa jina langu. Wanasema, ‘Nimeota ndoto! Nimeota ndoto!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimesikia waliyoyasema manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, Nimeota ndoto; nimeota ndoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nimeyasikia maneno waliyosema hao manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, ‘Nimeota ndoto, nimeota ndoto!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nimesikia wanayoyasema manabii, hao wanaotabiri uongo kwa Jina langu. Wanasema, ‘Nimeota ndoto! Nimeota ndoto!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nimesikia wanayoyasema manabii, hao wanaotabiri uongo kwa jina langu. Wanasema, ‘Nimeota ndoto! Nimeota ndoto!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimesikia waliyoyasema manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, Nimeota ndoto; nimeota ndoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nimeyasikia maneno waliyosema hao manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, ‘Nimeota ndoto, nimeota ndoto!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimeyasikia, wafumbuaji waliyoyasema, wakifumbua maneno ya uwongo katika Jina langu wakisema: Nimeota! Nimeota!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimesikia waliyoyasema manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema, Nimeota ndoto; nimeota ndoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nimeyasikia maneno waliyosema hao manabii wanaotabiri uongo kwa jina langu, wakisema: Nimeota ndoto, nimeota ndoto!