Jeremiah 23:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ndoto zao hizo wanapanga kuwafanya watu wangu wanisahau mimi kama baba zao walivyonisahau, wakamwendea Baali!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanadhani ndoto wanazoambiana wao kwa wao zitawafanya watu wangu walisahau jina langu, kama baba zao walivyolisahau kwa kumwabudu Baali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanaodhania ya kuwa watawasahaulisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao, wanazomhadithia kila mtu jirani yake, kama vile baba zao walivyolisahau jina langu, kwa ajili ya Baali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ndoto zao hizo wanapanga kuwafanya watu wangu wanisahau mimi kama baba zao walivyonisahau, wakamwendea Baali!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanadhani ndoto wanazoambiana wao kwa wao zitawafanya watu wangu walisahau Jina langu, kama baba zao walivyolisahau Jina langu kwa kumwabudu Baali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanadhani ndoto wanazoambiana wao kwa wao zitawafanya watu wangu walisahau jina langu, kama baba zao walivyolisahau jina langu kwa kumwabudu Baali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanaodhania ya kuwa watawasahaulisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao, wanazomhadithia kila mtu jirani yake, kama vile baba zao walivyolisahau jina langu, kwa ajili ya Baali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ndoto zao hizo wanapanga kuwafanya watu wangu wanisahau mimi kama baba zao walivyonisahau, wakamwendea Baali!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwaza, ya kuwa watawasahaulisha walio ukoo wangu Jina langu kwa ajili ya ndoto zao, wakizisimuliana kila mtu na mwenziwe, kama baba zao walivyolisahau Jina langu kwa ajili ya Baali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanaodhania ya kuwa watawasahaulisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao, wanazomhadithia kila mtu jirani yake, kama vile baba zao walivyolisahau jina langu, kwa ajili ya Baali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ndoto hizo zao wanafikiri kwamba watawashawishi watu wangu wanisahau mimi kama vile babu zao walivyonisahau, na kumufuata mungu Bali!