Jeremiah 23:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Naam, mimi niko kinyume na manabii wanaotumia ndimi zao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi Mungu asema.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mimi ni juu ya manabii, asema Bwana, wanaotumia ndimi zao na kusema, Yeye asema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Naam, mimi niko kinyume na manabii wanaotikisa ndimi zao wenyewe na kusema, ‘BWANA asema.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Naam, mimi niko kinyume na manabii wanaotikisa ndimi zao wenyewe na kusema, ‘ bwana asema.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mimi niko juu ya manabii, asema BWANA, wanaotumia ndimi zao na kusema, Yeye asema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Mtaniona, nikiwajia wafumbuaji, kwa kuwa huzitumia ndimi zao za kusema: Asema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mimi ni juu ya manabii, asema BWANA, wanaotumia ndimi zao na kusema, Yeye asema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli mimi nitawashambulia manabii. –Ni ujumbe wa Yawe! Wanajitungia maneno yao wenyewe na kusema “Ni ujumbe wa Yawe”.