Jeremiah 23:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena nabii au kuhani, au mtu yeyote atakayesema ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ nitamwadhibu pamoja na jamaa yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nabii, kuhani, au mtu yeyote akisema, ‘Huu ndio ujumbe wa Mwenyezi Mungu,’ nitamwadhibu huyo na nyumba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika habari ya nabii, na kuhani, na watu, watakaosema, Mzigo wa Bwana, mimi nitamwadhibu mtu yule, na nyumba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena nabii au kuhani, au mtu yeyote atakayesema ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ nitamwadhibu pamoja na jamaa yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa habari ya nabii, kuhani, au wale watu wasemao, ‘Mzigo wa BWANA,’ nitawaadhibu wao na nyumba zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nabii, kuhani, au mtu yeyote akisema, ‘Huu ndio mzigo wa bwana,’ nitamwadhibu huyo na nyumba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika habari ya nabii, na kuhani, na watu, watakaosema, Mzigo wa BWANA, mimi nitamwadhibu mtu yule, na nyumba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena nabii au kuhani, au mtu yeyote atakayesema ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ nitamwadhibu pamoja na jamaa yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mfumbuaji na mtambikaji nao walio wa ukoo huu watakaolitumia neno hilo la kwamba: Tamko zito la Bwana, mtu huyo nitampatiliza pamoja na mlango wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika habari ya nabii, na kuhani, na watu, watakaosema, Mzigo wa BWANA, mimi nitamwadhibu mtu yule, na nyumba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena nabii au kuhani, au mutu yeyote atakayesema: “Muzigo wa Yawe”, nitamwazibu pamoja na jamaa yake yote.