Jeremiah 23:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitu mnachopaswa kuulizana nyinyi kwa nyinyi ni ‘Mwenyezi-Mungu amejibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnaambiana kila mmoja na mwenzake, au kwa mtu wa nyumba yao: ‘Mwenyezi Mungu amejibu nini?’ au ‘Mwenyezi Mungu amesema nini?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtasema hivi kila mtu na jirani yake, na kila mtu na ndugu yake, Bwana amejibu mtu? Na, Bwana amesemaje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitu mnachopaswa kuulizana nyinyi kwa nyinyi ni ‘Mwenyezi-Mungu amejibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo mtaambiana kila mmoja na mwenzake, miongoni mwenu: ‘BWANA amejibu nini?’ au ‘BWANA amesema nini?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo mnaambiana kila mmoja na mwenzake, au kwa mtu wa nyumba yao: ‘ bwana amejibu nini?’ au ‘ bwana amesema nini?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtasema hivi kila mtu na jirani yake, na kila mtu na ndugu yake, BWANA amejibu nini? Na, BWANA amesemaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitu mnachopaswa kuulizana nyinyi kwa nyinyi ni ‘Mwenyezi-Mungu amejibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, mtakavyoulizana mtu na mwenziwe, hata mtu na ndugu yake kwamba: Bwana amejia nini? au: Bwana amesema nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtasema hivi kila mtu na jirani yake, na kila mtu na ndugu yake, BWANA amejibu mtu? Na, BWANA amesemaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitu munachopaswa kuulizana ninyi kwa ninyi ni hiki: “Yawe amejibu nini?” au, “Yawe amesema nini?”