Jeremiah 23:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi mtamwuliza nabii hivi: ‘Mwenyezi-Mungu amekujibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo utakavyoendelea kumuuliza nabii: ‘Mwenyezi Mungu amekujibu nini?’ au ‘Je, Mwenyezi Mungu amesema nini?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utamwambia nabii hivi, Bwana amekujibu nini? Na, Bwana amesemaje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi mtamwuliza nabii hivi: ‘Mwenyezi-Mungu amekujibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo utakavyoendelea kumwuliza nabii: ‘BWANA amekujibu nini?’ Au ‘Je, BWANA amesema nini?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo utakavyoendelea kumuuliza nabii: ‘ bwana amekujibu nini?’ au ‘Je, bwana amesema nini?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utamwambia nabii hivi, BWANA amekujibu nini? Na, BWANA amesemaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi mtamwuliza nabii hivi: ‘Mwenyezi-Mungu amekujibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, utakavyomwuliza mfumbuaji kwamba: Bwana amejibu nini? au: Bwana amesema nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utamwambia nabii hivi, BWANA amekujibu nini? Na, BWANA amesemaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi mukiuliza neno kwa nabii, museme hivi: Yawe amekujibu nini? au, Yawe amesema nini?