Jeremiah 23:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao wakivunja amri yangu na kusema, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ wakati ambapo mimi niliwakataza wasiseme, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ basi, waambie kuwa
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa unadai, ‘Huu ndio ujumbe wa Mwenyezi Mungu,’ asema Mwenyezi Mungu. Ulitumia maneno, ‘Huu ndio ujumbe wa Mwenyezi Mungu,’ Ingawa nilikuambia kuwa kamwe usiseme, ‘Huu ni ujumbe wa Mwenyezi Mungu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mkisema, Mzigo wa Bwana, basi, Bwana asema hivi, Kwa sababu mwasema neno hili, <Mzigo wa Bwana>; nami nimemtuma mtu kwenu kusema, Msiseme, <Mzigo wa Bwana>;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao wakivunja amri yangu na kusema, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ wakati ambapo mimi niliwakataza wasiseme, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ basi, waambie kuwa
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa unadai, ‘Huu ni mzigo wa BWANA,’ hili ndilo BWANA asemalo: Ulitumia maneno, ‘Huu ndio mzigo wa BWANA,’ hata ingawa nilikuambia kuwa kamwe usiseme, ‘Huu ni mzigo wa BWANA.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa unadai, ‘Huu ndio mzigo wa bwana,’ hili ndilo bwana asemalo: Ulitumia maneno, ‘Huu ndio mzigo wa bwana,’ hata ingawa nilikuambia kuwa kamwe usiseme, ‘Huu ni mzigo wa bwana.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mkisema, Mzigo wa BWANA, basi, BWANA asema hivi, Kwa sababu mwasema neno hili, “Mzigo wa BWANA”; nami nimemtuma mtu kwenu kusema, Msiseme, “Mzigo wa BWANA”;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao wakivunja amri yangu na kusema, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ wakati ambapo mimi niliwakataza wasiseme, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ basi, waambie kuwa
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mkisema: Tamko zito la Bwana, basi, itakuwa hivyo, Bwana alivyosema: Kwa kuwa mnalisema neno hilo la kwamba: Tamko zito la Bwana, nami nilituma kwenu kuwakataza, msiseme: Tamko zito la Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mkisema, Mzigo wa BWANA, basi, BWANA asema hivi, Kwa sababu mwasema neno hili, “Mzigo wa BWANA”; nami nimemtuma mtu kwenu kusema, Msiseme, “Mzigo wa BWANA”;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wao wakivunja amri yangu na kuendelea kusema Muzigo wa Yawe, wakati ambapo mimi niliwakataza wasiseme vile. Basi, uwaambie