Jeremiah 23:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mimi nitawanyanyua na kuwatupilia mbali, wao wenyewe pamoja na mji niliowapa wao na wazee wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, hakika nitakusahau na kukutenga mbali na uso wangu pamoja na mji niliowapa ninyi na baba zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, kwa hiyo angalieni, nitawasahau ninyi kabisa, nami nitawatupilia mbali, pamoja na mji huu niliowapa ninyi na baba zenu, mtoke mbele za uso wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mimi nitawanyanyua na kuwatupilia mbali, wao wenyewe pamoja na mji niliowapa wao na wazee wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, hakika nitakusahau na kukutupa mbali na uso wangu pamoja na mji niliowapa ninyi na baba zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, hakika nitakusahau na kukutupa mbali na uso wangu pamoja na mji niliowapa ninyi na baba zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, kwa hiyo angalieni, nitawasahau ninyi kabisa, nami nitawatupilia mbali, pamoja na mji huu niliowapa ninyi na baba zenu, mtoke mbele za uso wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mimi nitawanyanyua na kuwatupilia mbali, wao wenyewe pamoja na mji niliowapa wao na wazee wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, mtaniona, nikiwaacha kabisa na kuwabwaga ninyi pamoja na mji huu, niliowapa ninyi na baba zenu, mtoke usoni pangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, kwa hiyo angalieni, nitawasahau ninyi kabisa, nami nitawatupilia mbali, pamoja na mji huu niliowapa ninyi na baba zenu, mtoke mbele za uso wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mimi nitawanyanyua na kuwatupilia mbali, wao wenyewe pamoja na muji niliowapa wao na babu zao.