Jeremiah 23:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaletea fedheha ya milele na aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaleta juu yako fedheha ya kudumu: yaani aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitaleta juu yenu aibu ya milele, na fedheha ya daima, ambayo haitasahauliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaletea fedheha ya milele na aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaleta juu yako fedheha ya kudumu na aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaleta juu yako fedheha ya kudumu: yaani aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitaleta juu yenu aibu ya milele, na fedheha ya daima, ambayo haitasahauliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaletea fedheha ya milele na aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nitawatia soni za kale na kale na matusi ya kale na kale yasiyosahaulika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitaleta juu yenu aibu ya milele, na fedheha ya daima, ambayo haitasahauliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawafanya wafezeheke hata milele na kupata haya ya kudumu ambayo haitasahaulika.