Jeremiah 24:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao nitawaletea vita, njaa na maradhi mabaya mpaka waangamizwe kabisa kutoka katika nchi niliyowapa wao na wazee wao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitautuma upanga, njaa na tauni dhidi yao hadi wawe wameangamia kutoka nchi niliyowapa wao na baba zao.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitatuma upanga, na njaa, na tauni, kati yao, hata watakapopotelea mbali katika nchi niliyowapa, wao na baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao nitawaletea vita, njaa na maradhi mabaya mpaka waangamizwe kabisa kutoka katika nchi niliyowapa wao na wazee wao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitautuma upanga, njaa na tauni dhidi yao mpaka wawe wameangamia kutoka nchi niliyowapa wao na baba zao.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitautuma upanga, njaa na tauni dhidi yao hadi wawe wameangamia kutoka nchi niliyowapa wao na baba zao.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitatuma upanga, na njaa, na tauni, kati yao, hata watakapopotelea mbali katika nchi niliyowapa, wao na baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao nitawaletea vita, njaa na maradhi mabaya mpaka waangamizwe kabisa kutoka katika nchi niliyowapa wao na wazee wao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitatuma kwao panga na njaa na magonjwa mabaya, mpaka watakapomalizika na kutoweka katika nchi, niliyowapa wao na baba zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitatuma upanga, na njaa, na tauni, kati yao, hata watakapopotelea mbali katika nchi niliyowapa, wao na baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na zaidi ya ile nitawaletea vita, njaa na magonjwa makali mpaka waangamizwe kabisa kutoka katika inchi niliyowapa wao na babu zao.