Jeremiah 24:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kikapu cha kwanza kilikuwa na tini nzuri sana, kama tini za mwanzo wa mavuno. Lakini kikapu cha pili kilikuwa na tini mbaya sana, mbaya hata hazifai kuliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama zile za mavuno ya kwanza. Kikapu cha pili kilikuwa na tini dhaifu sana, mbovu mno zisizofaa kuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama tini zilizotangulia kuiva; na kikapu cha pili kilikuwa na tini mbovu sana zisizoweza kuliwa, kwa kuwa zilikuwa mbovu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kikapu cha kwanza kilikuwa na tini nzuri sana, kama tini za mwanzo wa mavuno. Lakini kikapu cha pili kilikuwa na tini mbaya sana, mbaya hata hazifai kuliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama zile za mavuno ya kwanza, kikapu cha pili kilikuwa na tini dhaifu sana, mbaya mno zisizofaa kuliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama zile za mavuno ya kwanza. Kikapu cha pili kilikuwa na tini dhaifu sana, mbovu mno zisizofaa kuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama tini zilizotangulia kuiva; na kikapu cha pili kilikuwa na tini mbovu sana zisizoweza kuliwa, kwa kuwa zilikuwa mbovu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kikapu cha kwanza kilikuwa na tini nzuri sana, kama tini za mwanzo wa mavuno. Lakini kikapu cha pili kilikuwa na tini mbaya sana, mbaya hata hazifai kuliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kikapu kimoja kuyu zake zilikuwa nzuri kabisa, kama kuyu za malimbuko zilivyo; kikapu cha pili kuyu zake zilikuwa mbaya kabisa, hazikulika kwa ubaya wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kikapu kimoja kilikuwa na tini nzuri sana, kama tini zilizotangulia kuiva; na kikapu cha pili kilikuwa na tini mbovu sana zisizoweza kuliwa, kwa kuwa zilikuwa mbovu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani ya kikapu cha kwanza kulikuwa tini nzuri sana, kama vile tini za mavuno ya kwanzakwanza. Lakini ndani ya kikapu cha pili kulikuwa tini mbaya sana, mbaya hata hazifai kukuliwa.