Jeremiah 25:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, nitakomesha miongoni mwao sauti za furaha, sauti za bwana arusi na bibi arusi. Sauti za kusaga hazitakuwapo, wala mwanga wa taa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaondolea sauti ya shangwe na furaha, sauti ya bibi arusi na ya bwana arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na mwanga wa taa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, nitawaondolea sauti ya kicheko, na sauti ya furaha, sauti ya bwana arusi, na sauti ya bibi arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na nuru ya mishumaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, nitakomesha miongoni mwao sauti za furaha, sauti za bwana arusi na bibi arusi. Sauti za kusaga hazitakuwapo, wala mwanga wa taa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaondolea sauti ya shangwe na furaha, sauti ya bibi na bwana arusi, sauti ya mawe ya kusagia na mwanga wa taa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaondolea sauti ya shangwe na furaha, sauti ya bibi na bwana arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na mwanga wa taa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, nitawaondolea sauti ya kicheko, na sauti ya furaha, sauti ya bwana harusi, na sauti ya bibi harusi, sauti ya mawe ya kusagia, na nuru ya mishumaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, nitakomesha miongoni mwao sauti za furaha, sauti za bwana arusi na bibi arusi. Sauti za kusaga hazitakuwapo, wala mwanga wa taa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitapoteza kwao sauti za vicheko na sauti za furaha, hata sauti za wachumba wa kiume na wa kike, hata milio ya mawe ya kusagia, hata mwanga wa taa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, nitawaondolea sauti ya kicheko, na sauti ya furaha, sauti ya bwana arusi, na sauti ya bibi arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na nuru ya mishumaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, nitakomesha toka kati yao sauti za furaha, sauti za wenye kufanya ndoa, wala sauti za kusaga hazitasikilika, wala mwangaza wa taa hautaonekana.