Jeremiah 25:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi hii yote itakuwa magofu matupu na ukiwa, na mataifa ya jirani yatamtumikia mfalme wa Babuloni kwa muda wa miaka sabini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nchi hii yote itakuwa ukiwa na isiyofaa kitu, nayo mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babeli kwa miaka sabini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nchi hii yote pia itakuwa ukiwa, na kitu cha kushangaza; nayo mataifa haya watamtumikia mfalme wa Babeli miaka sabini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi hii yote itakuwa magofu matupu na ukiwa, na mataifa ya jirani yatamtumikia mfalme wa Babuloni kwa muda wa miaka sabini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi hii yote itakuwa ukiwa na isiyofaa kitu, nayo mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babeli kwa miaka sabini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi hii yote itakuwa ukiwa na isiyofaa kitu, nayo mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babeli kwa miaka sabini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nchi hii yote pia itakuwa ukiwa, na kitu cha kushangaza; nayo mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babeli miaka sabini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi hii yote itakuwa magofu matupu na ukiwa, na mataifa ya jirani yatamtumikia mfalme wa Babuloni kwa muda wa miaka sabini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi hii yote itakuwa mavunjiko kwa kukaa peke yake. Nao watu wa mataifa haya watamtumikia mfalme wa Babeli miaka 70.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nchi hii yote pia itakuwa ukiwa, na kitu cha kushangaza; nayo mataifa haya watamtumikia mfalme wa Babeli miaka sabini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi hii yote itakuwa katika mabomoko matupu na ukiwa, na mataifa jirani yatamutumikia mufalme wa Babeli kwa muda wa miaka makumi saba.