Jeremiah 25:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitailetea nchi hiyo mambo yote niliyotamka dhidi yake na yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki ambayo Yeremia alitabiri dhidi ya mataifa yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaleta juu ya nchi hiyo mambo yote niliyosema dhidi yake, yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki, na kutolewa unabii na Yeremia dhidi ya mataifa yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaleta juu ya nchi ile maneno yangu yote niliyoyanena juu yake, naam, yote yaliyoandikwa ndani ya kitabu hiki, aliyotabiri Yeremia juu ya mataifa haya yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitailetea nchi hiyo mambo yote niliyotamka dhidi yake na yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki ambayo Yeremia alitabiri dhidi ya mataifa yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaleta juu ya nchi hiyo mambo yote niliyosema dhidi yake, yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki na kutolewa unabii na Yeremia dhidi ya mataifa yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaleta juu ya nchi hiyo mambo yote niliyosema dhidi yake, yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki, na kutolewa unabii na Yeremia dhidi ya mataifa yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaleta juu ya nchi ile maneno yangu yote niliyoyanena juu yake, naam, yote yaliyoandikwa ndani ya kitabu hiki, aliyotabiri Yeremia juu ya mataifa haya yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitailetea nchi hiyo mambo yote niliyotamka dhidi yake na yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki ambayo Yeremia alitabiri dhidi ya mataifa yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitailetea nchi ile maneno yangu yote, niliyoyasema ya kuifanyizia, yaliyoandikwa humu kitabuni, mfumbuaji Yeremia aliyoyafumbua kwamba: Yatawajia hawa wamizimu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaleta juu ya nchi ile maneno yangu yote niliyoyanena juu yake, naam, yote yaliyoandikwa ndani ya kitabu hiki, aliyotabiri Yeremia juu ya mataifa haya yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaleta juu ya inchi hiyo mambo yote niliyosema juu yake na yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki ambayo Yeremia alitabiri juu ya mataifa yote.