Jeremiah 25:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wababuloni nao itawalazimu kuwa watumwa wa mataifa mengine na wafalme wengine. Nitawaadhibu kadiri ya maovu yao waliyotenda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao wenyewe watakuwa watumwa wa mataifa mengi na wafalme wakuu. Nitawalipizia sawasawa na matendo yao na kazi ya mikono yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mataifa mengi na wafalme wakuu watawatumikisha; naam, hao pia; nami nitawalipa kwa kadiri ya matendo yao, na kwa kadiri ya kazi ya mikono yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wababuloni nao itawalazimu kuwa watumwa wa mataifa mengine na wafalme wengine. Nitawaadhibu kadiri ya maovu yao waliyotenda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao wenyewe watakuwa watumwa wa mataifa mengi na wafalme wakuu, nitawalipizia sawa sawa na matendo yao na kazi ya mikono yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao wenyewe watakuwa watumwa wa mataifa mengi na wafalme wakuu. Nitawalipizia sawasawa na matendo yao na kazi ya mikono yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mataifa mengi na wafalme wakuu watawatumikisha; naam, hao pia; nami nitawalipa kwa kadiri ya matendo yao, na kwa kadiri ya kazi ya mikono yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wababuloni nao itawalazimu kuwa watumwa wa mataifa mengine na wafalme wengine. Nitawaadhibu kadiri ya maovu yao waliyotenda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mataifa yenye watu wengi na wafalme wakuu watawatumikisha hawa nao, nami nitawalipisha kazi zao na matendo ya mikono yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mataifa mengi na wafalme wakuu watawatumikisha; naam, hao pia; nami nitawalipa kwa kadiri ya matendo yao, na kwa kadiri ya kazi ya mikono yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wababeli nao vilevile watakuwa watumwa wa mataifa mengine na wafalme wengine. Nitawaazibu kwa kadiri ya maovu yao waliyotenda.