Jeremiah 25:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa hayo yatakunywa na kupepesuka na kurukwa na akili kwa sababu ya mauaji nitakayosababisha kati yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakapoinywa, watapepesuka na kukasirika sana kwa sababu ya upanga nitakaoupeleka katikati yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watakunywa, na kulewalewa, na kufanya wazimu, kwa sababu ya upanga nitakaoupeleka kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa hayo yatakunywa na kupepesuka na kurukwa na akili kwa sababu ya mauaji nitakayosababisha kati yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakapoinywa watapepesuka na kukasirika sana kwa sababu ya upanga nitakaoupeleka katikati yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakapoinywa, watapepesuka na kukasirika sana kwa sababu ya upanga nitakaoupeleka katikati yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watakunywa, na kupepesuka, na kufanya wazimu, kwa sababu ya upanga nitakaoutuma kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa hayo yatakunywa na kupepesuka na kurukwa na akili kwa sababu ya mauaji nitakayosababisha kati yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapokinywa watapepesuka kwa kuingiwa na wazimu kwa ajili ya upanga utakaotumwa kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watakunywa, na kulewalewa, na kufanya wazimu, kwa sababu ya upanga nitakaoupeleka kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa hayo yatakunywa na yatashikwa na kizunguzungu na kupoteza akili kwa sababu ya mauaji nitakayosababisha kati yao.