Jeremiah 25:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikachukua hicho kikombe mkononi mwa Mwenyezi-Mungu, nikayanywesha mataifa yote ambayo Mwenyezi-Mungu alinituma kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo, nikakichukua kikombe kutoka mkononi mwa Mwenyezi Mungu, na kuyafanya mataifa yote aliyonituma kwao kukinywa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikakipokea kikombe kile mkononi mwa Bwana, nikawanywesha mataifa yote, ambao Bwana alinipeleka kwao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikachukua hicho kikombe mkononi mwa Mwenyezi-Mungu, nikayanywesha mataifa yote ambayo Mwenyezi-Mungu alinituma kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo nikakichukua kikombe kutoka mkononi mwa BWANA na kuyafanya mataifa yote aliyonituma kwao kukinywa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo nikakichukua kikombe kutoka mkononi mwa bwana, na kuyafanya mataifa yote aliyonituma kwao kukinywa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikakipokea kikombe kile mkononi mwa BWANA, nikawanywesha mataifa yote, ambao BWANA alinituma kwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikachukua hicho kikombe mkononi mwa Mwenyezi-Mungu, nikayanywesha mataifa yote ambayo Mwenyezi-Mungu alinituma kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikakitwaa hicho kikombe mkononi mwake Bwana, nikakinywesha makabila yote ya watu, ambao Bwana alinituma kwenda kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikakipokea kikombe kile mkononi mwa BWANA, nikawanywesha mataifa yote, ambao BWANA alinipeleka kwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikatwaa kikombe hicho toka mukono wa Yawe, nikayakunywesha mataifa yote ambayo Yawe alinituma kwao.