Jeremiah 25:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwanza Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na viongozi wake, ili kuifanya iwe jangwa, ukiwa, kitu cha kuzomewa na kulaaniwa, kama ilivyo mpaka leo. Halafu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yaani Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na wakuu wake, kuwafanya magofu na kuwa kitu cha kutisha, cha dhihaka na laana, kama walivyo leo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yaani, Yerusalemu, na miji ya Yuda, na wafalme wake, na wakuu wake, ili kuwafanya kuwa ukiwa, na ajabu, na mazomeo, na laana; vile vile kama ilivyo leo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwanza Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na viongozi wake, ili kuifanya iwe jangwa, ukiwa, kitu cha kuzomewa na kulaaniwa, kama ilivyo mpaka leo. Halafu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yaani Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na maafisa wake, kuwafanya magofu na kuwa kitu cha kuchukiza, cha dhihaka na laana, kama walivyo leo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yaani Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na maafisa wake, kuwafanya magofu na kuwa kitu cha kuchukiza, cha dhihaka na laana, kama walivyo leo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yaani, Yerusalemu, na miji ya Yuda, na wafalme wake, na wakuu wake, ili kuwafanya kuwa ukiwa, na ajabu, na mazomeo, na laana; vile vile kama ilivyo leo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwanza Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na viongozi wake, ili kuifanya iwe jangwa, ukiwa, kitu cha kuzomewa na kulaaniwa, kama ilivyo mpaka leo. Halafu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yerusalemu na miji ya Yuda na wafalme wao na wakuu wao kikawapatia mavunjiko na maangamizo na mazomeo na maapizo, kama vilivyo hata leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yaani, Yerusalemu, na miji ya Yuda, na wafalme wake, na wakuu wake, ili kuwafanya kuwa ukiwa, na ajabu, na mazomeo, na laana; vile vile kama ilivyo leo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwanza nikakunywesha wakaaji wa Yerusalema na miji mingine ya Yuda, wafalme wake na wakubwa wa serikali yake kusudi ikuwe jangwa, ukiwa, kitu cha kuzomewa na cha kulaaniwa, kama inavyokuwa mpaka leo. Halafu nikakunywesha: