Jeremiah 25:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao, mfalme wa Misri, na watumishi wake na wakuu wake na watu wake wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pia Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao, mfalme wa Misri, na watumishi wake na wakuu wake na watu wake wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikamnywesha Farao, mfalme wa Misri, na watumishi wake na wakuu wake na watu wake wote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao, mfalme wa Misri, na watumishi wake na wakuu wake na watu wake wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme wa Misri, wasimamizi wake na wakubwa wa serikali yake pamoja na watu wake wote;