Jeremiah 25:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi Yeremia niliwaambia ujumbe huo watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nabii Yeremia akawaambia watu wote wa Yuda na wote wanaoishi Yerusalemu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambalo Yeremia, nabii, aliwaambia watu wote wa Yuda, na wenyeji wote wa Yerusalemu, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi Yeremia niliwaambia ujumbe huo watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo nabii Yeremia akawaambia watu wote wa Yuda na wale wote waishio Yerusalemu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo nabii Yeremia akawaambia watu wote wa Yuda na wale wote waishio Yerusalemu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambalo Yeremia, nabii, aliwaambia watu wote wa Yuda, na wenyeji wote wa Yerusalemu, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi Yeremia niliwaambia ujumbe huo watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mfumbuaji Yeremia akaliambia wao wote wa ukoo wa Yuda nao wote wakaao Yerusalemu kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambalo Yeremia, nabii, aliwaambia watu wote wa Yuda, na wenyeji wote wa Yerusalemu, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia akawaambia ujumbe huo watu wote wa Yuda na wakaaji wa Yerusalema, akisema: