Jeremiah 25:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wageni wote walioishi nchini Misri; wafalme wote wa nchi ya Uzi; wafalme wote wa miji ya Wafilisti, Ashkeloni, Gaza, Ekroni na mabaki ya Ashdodi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wageni wote walio huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni, na watu walioachwa huko Ashdodi);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na watu wote waliochanganyika pamoja, na wafalme wote wa nchi ya Uzi, na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, na Ashkeloni, na Gaza, na Ekroni, na mabaki ya Ashdodi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wageni wote walioishi nchini Misri; wafalme wote wa nchi ya Uzi; wafalme wote wa miji ya Wafilisti, Ashkeloni, Gaza, Ekroni na mabaki ya Ashdodi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pia wageni wote walioko huko, wafalme wote wa nchi ya Uzi, wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pia wageni wote walioko huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi);
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na watu wote waliochanganyika pamoja, na wafalme wote wa nchi ya Uzi, na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, na Ashkeloni, na Gaza, na Ekroni, na mabaki ya Ashdodi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wageni wote walioishi nchini Misri; wafalme wote wa nchi ya Uzi; wafalme wote wa miji ya Wafilisti, Ashkeloni, Gaza, Ekroni na mabaki ya Ashdodi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao wote waliochangana nao wafalme wote wa nchi ya Usi na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, hata Askaloni na Gaza na Ekroni na masao ya Asdodi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na watu wote waliochanganyika pamoja, na wafalme wote wa nchi ya Uzi, na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, na Ashkeloni, na Gaza, na Ekroni, na mabaki ya Ashdodi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wageni wote walioishi katika inchi ya Misri; wafalme wote wa inchi ya Uzi; wafalme wote wa miji ya Wafilistini, Askeloni, Gaza, Ekuroni na mabaki ya Asidodi;