Jeremiah 25:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ya bahari ya Mediteranea;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ng’ambo ya bahari;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wafalme wote wa Tiro, na wafalme wote wa Sidoni, na wafalme wote wa kisiwa kilicho ng'ambo ya pili ya bahari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ya bahari ya Mediteranea;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wafalme wote wa Tiro na Sidoni, wafalme wa nchi za pwani ng'ambo ya bahari,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ng’ambo ya bahari;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wafalme wote wa Tiro, na wafalme wote wa Sidoni, na wafalme wote wa kisiwa kilicho ng'ambo ya pili ya bahari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ya bahari ya Mediteranea;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao wafalme wote wa Tiro na wafalme wote wa Sidoni na wafalme wa nchi za pwani ng'ambo ya bahari,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wafalme wote wa Tiro, na wafalme wote wa Sidoni, na wafalme wote wa kisiwa kilicho ng’ambo ya pili ya bahari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wafalme wote wa Tiro na Sidona; wafalme wa inchi zinazokuwa kandokando ya bahari ya Mediteranea;