Jeremiah 25:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakazi wa Dedani, Tema, Buzi na watu wote wanyoao denge;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dedani, na Tema, na Buzi, na watu wote wakatao denge;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakazi wa Dedani, Tema, Buzi na watu wote wanyoao denge;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dedani, na Tema, na Buzi, na watu wote wakatao denge;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakazi wa Dedani, Tema, Buzi na watu wote wanyoao denge;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wadedani na Watema na Wabuzi nao wote wakatao nywele za panjani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dedani, na Tema, na Buzi, na watu wote wakatao denge;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakaaji wa Dedani, Tema, Buzi na watu wote wanaonyoa nywele zote za pembenipembeni ya kichwa;