Jeremiah 25:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu waliochangana nao wakaao nyikani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yanayokaa katika jangwa;