Jeremiah 25:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia, wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wachungaji hawatakuwa na mahali pa kukimbilia, viongozi wa kundi hawatapata mahali pa kutorokea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wachungaji watakuwa hawana njia ya kukimbia, wala walio hodari katika kundi hawataokoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia, wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wachungaji hawatakuwa na mahali pa kukimbilia, viongozi wa kundi hawatapata mahali pa kutorokea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wachungaji hawatakuwa na mahali pa kukimbilia, viongozi wa kundi hawatapata mahali pa kutorokea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wachungaji watakuwa hawana njia ya kukimbia, wala walio hodari katika kundi hawataokoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia, wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, kimbilio litakapowapotelea wachungaji, nao viongozi wa makundi hawatapata pa kuponea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wachungaji watakuwa hawana njia ya kukimbia, wala walio hodari katika kundi hawataokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachungaji hawana makimbilio, wakubwa wa kundi hawataweza kutoroka.