Jeremiah 25:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni kilio cha wachungaji na mayowe ya wakuu wa kundi! Mwenyezi-Mungu anayaharibu malisho yao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikia kilio cha wachungaji, maombolezo ya viongozi wa kundi, kwa maana Mwenyezi Mungu anayaharibu malisho yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya kilio cha wachungaji, na sauti ya kupiga yowe kwao walio hodari katika kundi, kwa maana Bwana anayaharibu malisho yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni kilio cha wachungaji na mayowe ya wakuu wa kundi! Mwenyezi-Mungu anayaharibu malisho yao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikia kilio cha wachungaji, maombolezo ya viongozi wa kundi, kwa maana BWANA anayaharibu malisho yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikia kilio cha wachungaji, maombolezo ya viongozi wa kundi, kwa maana bwana anayaharibu malisho yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya kilio cha wachungaji, na sauti ya kuomboleza kwao walio hodari katika kundi, kwa maana BWANA anayaharibu malisho yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni kilio cha wachungaji na mayowe ya wakuu wa kundi! Mwenyezi-Mungu anayaharibu malisho yao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti za vilio vya wachungaji na makelele ya viongozi wa makundi yatasikilika hapo, Bwana atakapoyaharibu malisho yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya kilio cha wachungaji, na sauti ya kupiga yowe kwao walio hodari katika kundi, kwa maana BWANA anayaharibu malisho yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize kilio cha wachungaji na malalamiko ya wakubwa wa kundi! Yawe anayaharibu mashamba yao ya malisho.