Jeremiah 25:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na makundi yaliyokuwa matulivu yameharibiwa kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makao yao ya amani yataharibiwa kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mazizi yenye amani yamenyamazishwa, kwa sababu ya hasira kali ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na makundi yaliyokuwa matulivu yameharibiwa kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makao yao ya amani yataharibiwa kwa sababu ya hasira kali ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makao yao ya amani yataharibiwa kwa sababu ya hasira kali ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mazizi yenye amani yamenyamazishwa, kwa sababu ya hasira kali ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na makundi yaliyokuwa matulivu yameharibiwa kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo mbuga zile nzuri za kutulia hapo zitakuwa kimya pasipo sauti yo yote kwa ajili ya moto wa makali yake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mazizi yenye amani yamenyamazishwa, kwa sababu ya hasira kali ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashamba ya malisho yaliyostawi vizuri yameharibiwa, kwa sababu ya hasira kali ya Yawe.