Jeremiah 25:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hamkutaka kusikiliza wala hamkutega sikio msikie, ingawa Mwenyezi-Mungu aliwaleteeni watumishi wake manabii kila wakati,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa Mwenyezi Mungu aliwatuma kwenu mara kwa mara watumishi na manabii wake wote, ninyi hamkusikiliza wala hamkujali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana ametuma kwenu watumishi wake wote, hao manabii, akiamka mapema na kuwatuma, lakini ninyi hamkusikiliza, wala hamkutega masikio yenu, msikilize.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hamkutaka kusikiliza wala hamkutega sikio msikie, ingawa Mwenyezi-Mungu aliwaleteeni watumishi wake manabii kila wakati,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa BWANA amewatuma watumishi wake wote hao manabii kwenu mara kwa mara, hamkusikiliza wala hamkujali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa bwana amewatuma watumishi wake wote hao manabii kwenu mara kwa mara, hamkusikiliza wala hamkujali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA ametuma kwenu watumishi wake wote, hao manabii, akiamka mapema na kuwatuma, lakini ninyi hamkusikiliza, wala hamkutega masikio yenu, msikilize.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hamkutaka kusikiliza wala hamkutega sikio msikie, ingawa Mwenyezi-Mungu aliwaleteeni watumishi wake manabii kila wakati,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana alituma kwenu watumishi wake wote waliokuwa wafumbuaji, naye aliwatuma pasipo kuchoka kila kulipokucha, lakini hamkusikia, wala hamkuyatega masikio yenu, mpate kusikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA ametuma kwenu watumishi wake wote, hao manabii, akiamka mapema na kuwatuma, lakini ninyi hamkusikiliza, wala hamkutega masikio yenu, msikilize.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamukutaka kusikiliza wala kutega sikio, ingawa Yawe aliwaletea watumishi wake manabii kila wakati.