Jeremiah 25:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliwaonya Mmsifuate miungu mingine wala kuitumikia na kumkasirisha Mungu kwa kuabudu sanamu ambazo mmejitengenezea wenyewe. Kama Mmkimtii Mwenyezi-Mungu basi, yeye hatawaadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiifuate miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu. Msinikasirishe kwa vitu mlivyovitengeneza kwa mikono yenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala msiwafuate miungu mingine, ili kuwatumikia na kuwasujudia, wala msinikasirishe kwa kazi ya mikono yenu; basi, mimi sitawadhuru ninyi kwa dhara lo lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliwaonya Mmsifuate miungu mingine wala kuitumikia na kumkasirisha Mungu kwa kuabudu sanamu ambazo mmejitengenezea wenyewe. Kama Mmkimtii Mwenyezi-Mungu basi, yeye hatawaadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiifuate miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu, msinikasirishe kwa vitu ambavyo mmevitengeneza kwa mikono yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiifuate miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu. Msinikasirishe kwa vitu ambavyo mmevitengeneza kwa mikono yenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala msiwafuate miungu mingine, ili kuwatumikia na kuwasujudia, wala msinikasirishe kwa kazi ya mikono yenu; basi, mimi sitawadhuru ninyi kwa dhara lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliwaonya Mmsifuate miungu mingine wala kuitumikia na kumkasirisha Mungu kwa kuabudu sanamu ambazo mmejitengenezea wenyewe. Kama Mmkimtii Mwenyezi-Mungu basi, yeye hatawaadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiifuate miungu mingine kuitumikia na kuiangukia, wala msinikasirishe kwa matendo ya mikono yenu, nisiwafanyizie mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala msiwafuate miungu mingine, ili kuwatumikia na kuwasujudia, wala msinikasirishe kwa kazi ya mikono yenu; basi, mimi sitawadhuru ninyi kwa dhara lo lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifuate miungu mingine wala kuitumikia na kumukasirikisha kwa kuabudu sanamu, nami sitawatendea ubaya wowote.