Jeremiah 26:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa basi, rekebisheni mienendo yenu na matendo yenu na kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mkifanya hivyo, Mwenyezi-Mungu atabadili nia yake na kuacha kuwaletea maafa aliyotamka dhidi yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa tengenezeni njia zenu na matendo yenu, na kumtii Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Ndipo Mwenyezi Mungu atawahurumia na kuacha kuleta maafa aliyokuwa ameyatamka dhidi yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, tengenezeni njia zenu, na matendo yenu, mkaisikilize sauti ya Bwana, Mungu wenu; naye Bwana atayaghairi mabaya aliyoyanena juu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa basi, rekebisheni mienendo yenu na matendo yenu na kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mkifanya hivyo, Mwenyezi-Mungu atabadili nia yake na kuacha kuwaletea maafa aliyotamka dhidi yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa tengenezeni njia zenu na matendo yenu na kumtii BWANA Mungu wenu. Ndipo BWANA atawahurumia na kuacha kuleta maafa aliyokuwa ameyatamka dhidi yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa tengenezeni njia zenu na matendo yenu, na kumtii bwana Mwenyezi Mungu wenu. Ndipo bwana atawahurumia na kuacha kuleta maafa aliyokuwa ameyatamka dhidi yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, tengenezeni njia zenu, na matendo yenu, mkaisikilize sauti ya BWANA, Mungu wenu; naye BWANA atayaghairi mabaya aliyoyanena juu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa basi, rekebisheni mienendo yenu na matendo yenu na kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mkifanya hivyo, Mwenyezi-Mungu atabadili nia yake na kuacha kuwaletea maafa aliyotamka dhidi yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa fanyeni mwenendo mwema na matendo mema mkiisikia sauti ya Bwana Mungu wenu! Ndipo, Bwana atakapogeuza moyo, asiwafanyizie hayo mabaya, aliyoyasema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, tengenezeni njia zenu, na matendo yenu, mkaisikilize sauti ya BWANA, Mungu wenu; naye BWANA atayaghairi mabaya aliyoyanena juu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa basi, mugeuze mienendo yenu na matendo yenu na kutii sauti ya Yawe, Mungu wenu. Mukifanya hivyo, Yawe atabadilisha nia yake na kuacha kuwaletea hasara aliyokusudia kuleta juu yenu.