Jeremiah 26:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi, tazama nimo mikononi mwenu. Nitendeeni kama mnavyoona vema na haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi niko mikononi mwenu; nifanyieni lolote mnaloona kuwa jema na haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kwangu mimi, tazama, mimi nipo hapa mikononi mwenu; nitendeni myaonayo kuwa mema na haki mbele ya macho yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi, tazama nimo mikononi mwenu. Nitendeeni kama mnavyoona vema na haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa habari yangu mimi, niko mikononi mwenu, nifanyieni lo lote mnaloona kuwa ni jema na la haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa habari yangu mimi, niko mikononi mwenu, nifanyieni lolote mnaloona kuwa ni jema na la haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kwangu mimi, tazama, mimi nipo hapa mikononi mwenu; nitendeni myaonayo kuwa mema na haki mbele ya macho yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi, tazama nimo mikononi mwenu. Nitendeeni kama mnavyoona vema na haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi nitazameni! Nimo mikononi mwenu; nifanyizieni, mliyoyaona na macho yenu kuwa mema yanyokayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kwangu mimi, tazama, mimi nipo hapa mikononi mwenu; nitendeni myaonayo kuwa mema na haki mbele ya macho yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi niko sasa katika mikono yenu. Munitendee kama vile munavyoona vema na haki.