Jeremiah 26:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, baadhi ya wazee wa nchi wakasimama na kuwaambia watu waliokuwa wamekusanyika:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya wazee wa nchi wakasogea mbele, wakaliambia kusanyiko lote la watu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo watu kadha wa kadha miongoni mwa wazee wa nchi wakaondoka, wakanena na mkutano wa watu, wakisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, baadhi ya wazee wa nchi wakasimama na kuwaambia watu waliokuwa wamekusanyika:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya wazee wa nchi wakasogea mbele wakaliambia kusanyiko lote la watu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya wazee wa nchi wakasogea mbele, wakaliambia kusanyiko lote la watu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo watu kadhaa miongoni mwa wazee wa nchi wakaondoka, wakanena na mkutano wa watu, wakisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, baadhi ya wazee wa nchi wakasimama na kuwaambia watu waliokuwa wamekusanyika:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na wazee wa nchi hii, wakainuka, wakauambia mkutano wote wa watu wa ukoo huu, wakasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo watu kadha wa kadha miongoni mwa wazee wa nchi wakaondoka, wakanena na mkutano wa watu, wakisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wasimamizi wamoja wa inchi wakasimama na kuwaambia watu waliokuwa wamekusanyika: