Jeremiah 26:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Simama katika ukumbi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, uwatangazie watu wa miji yote ya Yuda wanaofika kuabudu katika nyumba ya Mungu, mambo yote niliyokuamuru uwaambie, bila kuacha hata neno moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Simama katika ua wa nyumba ya Mwenyezi Mungu na useme na watu wote wa miji ya Yuda wanaokuja kuabudu katika nyumba ya Mwenyezi Mungu. Waambie kila kitu nitakachokuamuru, usipunguze neno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana asema hivi, Simama katika uwanja wa nyumba ya Bwana, useme na miji yote ya Yuda, wajao ili kuabudu katika nyumba ya Bwana; sema nao maneno yote ninayokuamuru kuwaambia, usizuie hata neno moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Simama katika ukumbi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, uwatangazie watu wa miji yote ya Yuda wanaofika kuabudu katika nyumba ya Mungu, mambo yote niliyokuamuru uwaambie, bila kuacha hata neno moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hili ndilo BWANA asemalo: Simama katika ua wa nyumba ya BWANA na useme na watu wote wa miji ya Yuda wanaokuja kuabudu katika nyumba ya BWANA. Waambie kila kitu nitakachokuamuru, usipunguze neno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hili ndilo bwana asemalo: Simama katika ua wa nyumba ya bwana na useme na watu wote wa miji ya Yuda wanaokuja kuabudu katika nyumba ya bwana. Waambie kila kitu nitakachokuamuru, usipunguze neno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA asema hivi, Simama katika uwanja wa nyumba ya BWANA, useme na miji yote ya Yuda, wajao ili kuabudu katika nyumba ya BWANA; sema nao maneno yote ninayokuamuru kuwaambia, usizuie hata neno moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Simama katika ukumbi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, uwatangazie watu wa miji yote ya Yuda wanaofika kuabudu katika nyumba ya Mungu, mambo yote niliyokuamuru uwaambie, bila kuacha hata neno moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Simama uani pa Nyumba ya Bwana, nao watu wa miji yote watakaopaingia kutambika Nyumbani mwa Bwana uwaambie maneno yote, niliyokuagiza kuwaambia, usipunguze hata neno moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA asema hivi, Simama katika uwanja wa nyumba ya BWANA, useme na miji yote ya Yuda, wajao ili kuabudu katika nyumba ya BWANA; sema nao maneno yote ninayokuamuru kuwaambia, usizuie hata neno moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Simama katika kiwanja cha nyumba ya Yawe, uwatangazie watu wa miji yote ya Yuda wanaofika kuabudu katika nyumba ya Mungu, mambo yote niliyokuamuru kuwaambia, bila kuacha hata neno moja.