Jeremiah 26:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye mfalme Yehoyakimu pamoja na mashujaa wake na wakuu wote waliposikia mambo aliyosema Uria, mfalme alitaka kumuua. Lakini Uria alipopata habari, alishikwa na hofu, akatoroka na kwenda Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Yehoyakimu na wakuu wake wote na maafisa waliposikia maneno yake, mfalme alitafuta kumuua. Lakini Uria alipata habari, na kwa kuogopa akakimbilia Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yehoyakimu, mfalme, na mashujaa wake wote, na wakuu wake wote, waliposikia maneno yake, mfalme akataka kumwua; lakini Uria alipopata habari, aliogopa, akakimbia akaenda Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye mfalme Yehoyakimu pamoja na mashujaa wake na wakuu wote waliposikia mambo aliyosema Uria, mfalme alitaka kumuua. Lakini Uria alipopata habari, alishikwa na hofu, akatoroka na kwenda Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Yehoyakimu na wakuu wake wote na maafisa waliposikia maneno yake, mfalme alitafuta kumwua. Lakini Uria alipata habari na kwa kuogopa akakimbilia Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Yehoyakimu na wakuu wake wote na maafisa waliposikia maneno yake, mfalme alitafuta kumuua. Lakini Uria alipata habari, na kwa kuogopa akakimbilia Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yehoyakimu, mfalme, na mashujaa wake wote, na wakuu wake wote, waliposikia maneno yake, mfalme akataka kumwua; lakini Uria alipopata habari, aliogopa, akakimbia akaenda Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye mfalme Yehoyakimu pamoja na mashujaa wake na wakuu wote waliposikia mambo aliyosema Uria, mfalme alitaka kumuua. Lakini Uria alipopata habari, alishikwa na hofu, akatoroka na kwenda Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme Yoyakimu na watu wake wote wa vita na wakuu wote walipoyasikia maneno yake, mfalme akatafuta, jinsi atakavyomwua. Uria alipoyasikia, akaogopa, akakimbia kwenda Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yehoyakimu, mfalme, na mashujaa wake wote, na wakuu wake wote, waliposikia maneno yake, mfalme akataka kumwua; lakini Uria alipopata habari, aliogopa, akakimbia akaenda Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye mufalme Yoyakimu pamoja na waaskari shujaa wake na wakubwa wote wa serikali yake waliposikia mambo yale Uria aliyosema, mufalme alitaka kumwua. Lakini Uria alipopata habari ile, alishikwa na hofu, akatoroka na kwenda Misri.