Jeremiah 26:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao walimrudisha Uria kutoka Misri, wakampeleka kwa mfalme Yehoyakimu. Mfalme akamuua kwa upanga na maiti yake ikazikwa kwenye makaburi ya watu wa kawaida.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamrudisha Uria kutoka Misri na kumpeleka kwa Mfalme Yehoyakimu, ambaye alimuua kwa upanga, na mwili wake kutupwa kwenye eneo la makaburi ya watu wasio na cheo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamtoa Uria katika Misri, wakamleta kwa Yehoyakimu, mfalme; naye akamwua kwa upanga, akamtupa yule maiti katika makaburi ya watu wasio na cheo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao walimrudisha Uria kutoka Misri, wakampeleka kwa mfalme Yehoyakimu. Mfalme akamuua kwa upanga na maiti yake ikazikwa kwenye makaburi ya watu wa kawaida.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamrudisha Uria kutoka Misri na kumpeleka kwa Mfalme Yehoyakimu, ambaye alimwua kwa upanga na mwili wake kutupwa kwenye eneo la makaburi ya watu wasio na cheo.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamrudisha Uria kutoka Misri na kumpeleka kwa Mfalme Yehoyakimu, ambaye alimuua kwa upanga, na mwili wake kutupwa kwenye eneo la makaburi ya watu wasio na cheo.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamtoa Uria katika Misri, wakamleta kwa Yehoyakimu, mfalme; naye akamwua kwa upanga, akamtupa yule maiti katika makaburi ya watu wasio na cheo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao walimrudisha Uria kutoka Misri, wakampeleka kwa mfalme Yehoyakimu. Mfalme akamuua kwa upanga na maiti yake ikazikwa kwenye makaburi ya watu wa kawaida.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamtoa Uria huko Misri, wakampeleka kwake mfalme Yoyakimu, akampiga kwa upanga, mzoga wake akautupa kwenye makaburi yao waliokuwa wa ukoo huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamtoa Uria katika Misri, wakamleta kwa Yehoyakimu, mfalme; naye akamwua kwa upanga, akamtupa yule maiti katika makaburi ya watu wasio na cheo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao wakamurudisha Uria kutoka Misri, wakamupeleka kwa mufalme Yoyakimu. Mufalme akamwua kwa upanga na maiti yake ikatupwa katika kaburi.