Jeremiah 26:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yeremia alikuwa akilindwa na Ahikamu mwana wa Shefani, ili asitiwe mikononi mwa watu na kuuawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, Ahikamu mwana wa Shafani akamuunga mkono Yeremia, kwa hiyo hakutiwa tena mikononi mwa watu ili auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mkono wa Ahikamu, mwana wa Shafani, alikuwa pamoja na Yeremia, wasimtie katika mikono ya watu auawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yeremia alikuwa akilindwa na Ahikamu mwana wa Shefani, ili asitiwe mikononi mwa watu na kuuawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, Ahikamu mwana wa Shefani akamuunga mkono Yeremia, kwa hiyo hakutiwa tena mikononi mwa watu ili auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, Ahikamu mwana wa Shafani akamuunga mkono Yeremia, kwa hiyo hakutiwa tena mikononi mwa watu ili auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mkono wa Ahikamu, mwana wa Shafani, ulikuwa pamoja na Yeremia, wasimtie katika mikono ya watu auawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yeremia alikuwa akilindwa na Ahikamu mwana wa Shefani, ili asitiwe mikononi mwa watu na kuuawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Ahikamu, mwana wa Safani, alimshika Yeremia kwa mkono wake, asitiwe mikononi mwa watu wamwue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mkono wa Ahikamu, mwana wa Shafani, alikuwa pamoja na Yeremia, wasimtie katika mikono ya watu auawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yeremia alikuwa akilindwa na Ahikamu mwana wa Safamu kusudi asitiwe katika mikono ya watu na kuuawa.