Jeremiah 26:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na msipoyajali wanayosema watumishi wangu manabii ambao nimekuwa nikiwatuma kwenu kila mara, ingawa hamkuwajali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na msipoyasikiliza maneno ya watumishi wangu manabii, ambao nimewatuma kwenu tena na tena (ijapokuwa hamkuwasikiliza),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kuyasikiliza maneno ya watumishi wangu, manabii, ninaowatuma kwenu, naam, nikiondoka mapema na kuwatuma; lakini ninyi hamkuwasikiliza;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na msipoyajali wanayosema watumishi wangu manabii ambao nimekuwa nikiwatuma kwenu kila mara, ingawa hamkuwajali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi ikiwa hamtayasikiliza maneno ya watumishi wangu manabii, ambao nimewatuma kwenu tena na tena (ijapokuwa hamkuwasikiliza),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi ikiwa hamtayasikiliza maneno ya watumishi wangu manabii, ambao nimewatuma kwenu tena na tena (ijapokuwa hamkuwasikiliza),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kuyasikiliza maneno ya watumishi wangu, manabii, ninaowatuma kwenu, naam, nikiondoka mapema na kuwatuma; lakini ninyi hamkuwasikiliza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na msipoyajali wanayosema watumishi wangu manabii ambao nimekuwa nikiwatuma kwenu kila mara, ingawa hamkuwajali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
msipoyashika maneno ya wafumbuaji walio watumishi wangu, mimi ninaowatuma kwenu pasipo kuchoka kila kunapokucha, msipowasikia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kuyasikiliza maneno ya watumishi wangu, manabii, ninaowatuma kwenu, naam, nikiondoka mapema na kuwatuma; lakini ninyi hamkuwasikiliza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuyajali maneno ya watumishi wangu manabii ambao ninawatuma kwenu kila mara, ingawa hamukuwasikiliza,