Jeremiah 27:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wanawatabirieni uongo na hii itasababisha mhamishwe mbali na nchi yenu. Nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanawatabiria uongo ambao utawafanya ninyi mhamishwe mbali kutoka nchi yenu. Nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana wanawatabiria uongo, ili kuwatoa ninyi mbali na nchi yenu; niwafukuze mkaangamie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wanawatabirieni uongo na hii itasababisha mhamishwe mbali na nchi yenu. Nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanawatabiria ninyi uongo ambako kutawafanya ninyi mhamishwe mbali kutoka kwenye nchi yenu, nitawafukuzia mbali nanyi mtaangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanawatabiria uongo ambao utawafanya ninyi mhamishwe mbali kutoka nchi yenu. Nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana wanawatabiria uongo, ili kuwatoa ninyi mbali na nchi yenu; niwafukuze mkaangamie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wanawatabirieni uongo na hii itasababisha mhamishwe mbali na nchi yenu. Nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani huwafumbulia yenye uwongo, kusudi wawatoe katika nchi yenu na kuwapeleka katika nchi ya mbali, nami niwatupe ninyi, mwangamie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana wanawatabiria uongo, ili kuwatoa ninyi mbali na nchi yenu; niwafukuze mkaangamie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wanawatabiria uongo. Jambo hilo litawasababisha ninyi kuhamishwa mbali na inchi yenu. Nitawafukuza mbali, nanyi mutaangamia.