Jeremiah 27:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Yeremia, jitengenezee kamba na nira ujivike shingoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo Mwenyezi Mungu aliloniambia: “Tengeneza nira, ujivike shingoni mwako, uifunge kwa kamba za ngozi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameniambia hivi, Jifanyizie vifungo na nira, ukajivike shingoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Yeremia, jitengenezee kamba na nira ujivike shingoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo BWANA aliloniambia: “Tengeneza nira, ujivike shingoni mwako uifunge kwa kamba za ngozi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo bwana aliloniambia: “Tengeneza nira, ujivike shingoni mwako, uifunge kwa kamba za ngozi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameniambia hivi, Jitengenezee vifungo na nira, ukajivike shingoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Yeremia, jitengenezee kamba na nira ujivike shingoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Jitengenezee kamba na kongwa, uzitie shingoni pako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameniambia hivi, Jifanyizie vifungo na nira, ukajivike shingoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe aliniambia hivi: Yeremia, ujitengenezee kamba na nira na kuvifungia kwenye shingo.