Jeremiah 27:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikilizeni mambo ambayo mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, ninasema juu ya vile vyombo vilivyoachwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika nyumba ya mfalme wa Yuda na katika mji wa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, hili ndilo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mungu wa Israeli, asemalo kuhusu vitu ambavyo vimebaki ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, na ndani ya jumba la kifalme la mfalme wa Yuda, na katika Yerusalemu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naam, Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, katika habari za vyombo vilivyobaki katika nyumba ya Bwana, na katika nyumba ya mfalme wa Yuda, na hapa Yerusalemu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikilizeni mambo ambayo mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, ninasema juu ya vile vyombo vilivyoachwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika nyumba ya mfalme wa Yuda na katika mji wa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, hili ndilo BWANA Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo kuhusu vitu ambavyo vimebaki ndani ya nyumba ya BWANA na ndani ya jumba la kifalme la mfalme wa Yuda na katika Yerusalemu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, hili ndilo bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo kuhusu vitu ambavyo vimebaki ndani ya nyumba ya bwana, na ndani ya jumba la kifalme la mfalme wa Yuda, na katika Yerusalemu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naam, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, katika habari za vyombo vilivyobaki katika nyumba ya BWANA, na katika nyumba ya mfalme wa Yuda, na hapa Yerusalemu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikilizeni mambo ambayo mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, ninasema juu ya vile vyombo vilivyoachwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika nyumba ya mfalme wa Yuda na katika mji wa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini hivi ndivyo, Bwana Mwenye vikosi, Mungu wa Isiraeli, anavyosema kwa ajili ya vyombo vilivyosalia Nyumbani mwa Bwana namo nyumbani mwa mfalme wa Yuda namo Yerusalemu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naam, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, katika habari za vyombo vilivyobaki katika nyumba ya BWANA, na katika nyumba ya mfalme wa Yuda, na hapa Yerusalemu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, Yawe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi juu ya vile vyombo vilivyoachwa katika nyumba ya Yawe, katika nyumba ya mufalme wa Yuda na katika Yerusalema: